🙂Asalamu Alaykum ndugu zangu katika uislamu😔msisahau ingia tovuti hii sasa kufika kwa waislamu wote na pia kujua zaidi kuhusu swala ya ijumaa na jazakum Allah kila kheri 🤗 👇👇👇 ☘️Namna ya kuswali Swalah ya Ijumaa🌸 Swala ya Ijumaa ni rakaa mbili na kisomo katika rakaa hizo husomwa kwa sauti.Na ni sunna kusoma katika rakaa ya kwanza- baada ya Fatiha- sura ya Al-Jum’ah, na katika rakaa ya pili – baada ya Fatiha- kusoma sura ya Al- Munaafiquun, au aso